Serikali yatangaza kuwepo kwa shehena ya mafuta ya kula ya kutosha.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA  TAARIFA KWA UMMA  UPATIKANAJI WA MAFUTA YA KUPIKIA NCHINI  11 Januari, 2021 – Dodoma  Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Geoffrey Mwambe (Mb) anawahakikishia wananchi kuwa hali ya upatikanaji wa mafuta ya kula itatengemaa mara baada ya kuanza upakuaji wa mafuta ya kula yanayoingizwa kutoka